fangfangjt
JF-Expert Member
- Apr 25, 2008
- 571
- 139
Tememeko (la ardhi) latokea dar, watu maeneo ya mjini wamelisikia
vp kuna madhara yoyote? kipimo chake unaweza kukijua?Tememeko (la ardhi) latokea dar, watu maeneo ya mjini wamelisikia
Kama kawaida dar tambarare hatuambiwi na hatutaambiwa.
Hiyo imetoka
Mimi pia nimelisikia, maeneo ya Morocco