Hawa vijana hawana ushauri wa watu wenye upeo..., very talented individuals.., na wanatoa music safi, melody n.k. ila maudhui yake yanawa-side track baadhi ya wasikilizaji na muziki kama huu ni vigumu kudumu.., sidhani kama wanashindwa kubakiza kila kitu vile vile ila maudhui yakabadilika.., inakuwa kama hawana wazazi .....