Tetec: Yawezekana hiki ndicho kilichompeleka Gwajei Magogoni!

Mikopo Chefuchefu

JF-Expert Member
May 15, 2017
3,373
6,756
Stay tuned! Muda ni rafiki wa kila mtu...
Wapendwa, nimeona niwaletee tetesi ya moto moto usiku huu kwa kuwa kesho nitakuwa safarini na sitoweza kupost ishu yeyote ya maana...

1116889

Hayawi hayawi, sasa yamekuwa!

Huko nyuma niliwahi kupendekeza Gwajey auziwe ile ndege ndogo ya namba 1 alafu tununue ndege ingine kubwa kwa ajili ya namba moja...
Kwa hali niliyoiona leo, inaonekana kuna biashara kubwa sana imezungumzwa pale Magogoni...

Either the above one, or the below one...
Stay tuned. Muda ni rafiki wa kila mtu...
1116897

NB: Huu ni mtazamo wangu tu katika ku decode data na kuchambua taarifa. Sina taarifa yeyote ile kuhusiana na kilichozungumzwa leo...

Mood atakaye unganisha uzi huu na uzi wowote ule, nitamnyonga na mlenda wa bamia... :mad::mad:
 
View attachment 1116889

View attachment 1116897

NB: Huu ni mtazamo wangu tu katika ku decode data na kuchambua taarifa. Sina taarifa yeyote ile kuhusiana na kilichozungumzwa leo...

Mood atakaye unganisha uzi huu na uzi wowote ule, nitamnyonga na mlenda wa bamia... :mad::mad:
Kwa kutumia mti wa nyanya
 
Back
Top Bottom