...RF unajua hata mimi nimekuwa nikijaribu mara kadhaa kuweka picha bila hiyo format ya thumnails ili mtu akifungua tu aone picha moja kwa moja au bila kusubiri kuwa-downloaded nimeshindwa. Nina mapicha makali kibao...may be uni-pm na kunielewesha...