Test ya kujua mpenzi wa kweli

Test ya kujua mpenzi wa kweli

sagemba

JF-Expert Member
Joined
Jan 7, 2013
Posts
467
Reaction score
30
Ili kumpima baby wako mwambie hv: "baby i love you.." atakujibu: "i love u too.."mwambie tena: "baby i miss you "atakujibu: "i miss you too" mwambie tena: "baby nakutumia 50000 kwenye m-pesa.." Akikujibu: nakutumia 50000 kwenye m-pesa too!!" basi huyo atakuwa wa ukweli
 
ni mawazo yako tu jaribu kuficha mapungufu yako mbele ya umati wa watu
 
Ili kumpima baby wako mwambie hv: "baby i love you.." atakujibu: "i love u too.."mwambie tena: "baby i miss you "atakujibu: "i miss you too" mwambie tena: "baby nakutumia 50000 kwenye m-pesa.." Akikujibu: nakutumia 50000 kwenye m-pesa too!!" basi huyo atakuwa wa ukweli

Tujue jinsia yako kwanza ndo mjadala uendelee.
 
Acheni kutoka mapovu...huu ni utani tu...mara oh mapungufu, kitu gani nyie
 
Ili kumpima baby wako mwambie hv: "baby i love you.." atakujibu: "i love u too.."mwambie tena: "baby i miss you "atakujibu: "i miss you too" mwambie tena: "baby nakutumia 50000 kwenye m-pesa.." Akikujibu: nakutumia 50000 kwenye m-pesa too!!" basi huyo atakuwa wa ukweli

Peleka jukwaa husika
 
hahahahah kweli hii kali duh
 
mmmmmmmh, hujui kanuni za pesa? pesa huwa hairudishwi hata kama imepotea njia, pesa huwa haisuswi, pesa huwa inapangiwa matumizi kabla haijapatikana.
 
Ili kumpima baby wako mwambie hv: "baby i love you.." atakujibu: "i love u too.."mwambie tena: "baby i miss you "atakujibu: "i miss you too" mwambie tena: "baby nakutumia 50000 kwenye m-pesa.." Akikujibu: nakutumia 50000 kwenye m-pesa too!!" basi huyo atakuwa wa ukweli

Kama hiyo ndo njia ya kumjua Mpenzi wa kweli kuna kila dalili kwamba ukifanya utafiti hutapata wapenzi wa kweli
 
Acheni kutoka mapovu...huu ni utani tu...mara oh mapungufu, kitu gani nyie

Achana nao hao mkuu....

nimejaribu akaniambia "mbona sijaiona baby jamani, hebu jaribu tena labda mtandao unasumbua"
 
Back
Top Bottom