Test ur IQ-part 3

Boflo

JF-Expert Member
Joined
Jan 20, 2010
Posts
4,383
Reaction score
4,413
A VERY SMART PERSON WILL GET THIS


A man wanted to enter a CLUB.


Every member knew the password.


So, the man hide beside the wall & tried to listen to the password.


A member came, watchman said;


'TWELVE'


Member replied:


'6'.


Watchman opened door.


Another member came, watchman said;


'SIX'


Member replied:


'3'.


Watchman opened door.


The man thought he got the password.


He went at the door, Watchman said;


'EIGHT'


Man replied:


'4'.


Watchman didn't open the door.


What was the Password?
 
What was the Password was 5

as eight has only 5 letters only
Supposing I was a wathcman and said bubu msemaovyo waht was your reply, of course it was to be 13
 
angesema 5 but not because of letters ila kuwa anatoa 3 kwenye kila namba inayotajwa
 

Ya kazi gani kuumizana vichwa, mie nikikuta hivyo naita bodaboda inaniwahisha zangu Makirikiri ambako mteja ni ---- lakini tuna enjoy mpaka basi
 
ah... mambo gani kwenda kustarehe na kuulizana hesabu?
 
Wahehe kila ukoo una password yake ukijiita mimi Mwihava watakuuliza Mwihava yupi unaitikia kwa password "Mponela" nk. Samahani kwa kutoa password zenu hadharani.
Kikoti=Kiilwa
 
password ya nini....si aende club nyingine....kwani club ni hiyo hiyo........
Halafu wewe mmoja kati ya wanawake wachache sana warembo wenye akili nyingi sana duniani ambaye nilikuwa namtafuta toka siku nyingi! Mumeo anafaidi mweeeeeeee
 
Klabu kama hii wale laki mbili wachora mazombi hawatii maguu...
 
Pretaaaaaa............ Au unalazimisha na hapo moto unakuwakia kama huyu Mturuki. Ila hata yeye mwisho alifata ushauri wako.

password ya nini....si aende club nyingine....kwani club ni hiyo hiyo........
 
Last edited by a moderator:
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…