TEST: Locked Modem with different line

HT

JF-Expert Member
Jul 29, 2011
1,897
414
Kuna mwanJF amesema anatumia Modem zilizo locked kwa laini mbalimbali. Yaani locked modem ya tigo kwa laini ya voda ktk ubuntu. Sijajua kama ni kweli. Nimejaribu kupata tools nifanye jaribio, so far sijapata. Kama kuna mtu anaweza kujaribu au alishajaribu tuhakikishe!
Ahsante,

Mkuu nimejaribu na nimefanikiwa kutumia modem yangu ya vodafone k3570-z kwa ubuntu 11.04 bila matatizo.
Chomeka modem yako ikiwa na line ya mtandao mwingine kama tigo au airtel,Unaclick kwenye icon ya connection pale juu kulia, kisha una click edit connection kitatokea kidirisha cha network connection.
Then click mobile broadband na kisha chagua add, baada ya hapo utaona modem yako ikiwa ditected kwa mtandao ulioweka sim card yake, so fuata simple prompt na utakuwa umemaliza mchezo
 
great Paul,
unaweza test Modem nyingine ili kumaliza kabisa?
Hii inaonesha kuwa huwa wanazuia ktk software zao na sio firmware. Kama ndio hivyo mchezo umeisha!
 
Back
Top Bottom