Hapo inabidi uwapate mafundi wanaotambuliwa na kampuni ya Tesla, la sivyo ukileta uswahili na kuipeleka gari yako kwa fundi 'mtaalamu' utaishia kusaga meno๐
Kwanza kagari kenyewe kabayaa, kwa mbele kanataka kufanana na tule tu volkswagen beetle tulitokuwa tunatuita gongo chura, ila uliza bei yake sasa utachanganyikiwa