Emman1985 Member Joined Apr 12, 2018 Posts 37 Reaction score 44 Dec 17, 2018 #1 Habari wanabodi? Tumai mu-wazima afya njema. Leo napenda kuuliza kuhusiana na gari Aina ya Tesla model 3. Je, tuna vituo vya kuchajia magari ya namna hii? Barabara zetu zinasapoti mfumo wa magari Aina ya Tesla?
Habari wanabodi? Tumai mu-wazima afya njema. Leo napenda kuuliza kuhusiana na gari Aina ya Tesla model 3. Je, tuna vituo vya kuchajia magari ya namna hii? Barabara zetu zinasapoti mfumo wa magari Aina ya Tesla?