Tuchape kazi tusbak kuwa wapenz washangaaji wajameni
Utaenda kujibu kesi ya utakatishaji fedha mahakama ya mafisadi
Litakutesa kama watu wanavyohaha na battery la Toyota Prius Hybrid. Lile battery likifa ni nusu ya bei ya gari jipya (zero kilometer)
Litakutesa kama watu wanavyohaha na battery la Toyota Prius Hybrid. Lile battery likifa ni nusu ya bei ya gari jipya (zero kilometer)
Bullet Proof vioo bado. Siku ya uzinduzi jiwe kidogo tu kioo kikaweka ufa. Ellon akasema kuna room for improvement. So theoretically YES ila practically BADO hatujaona maana ata body walitest na Nyundo sio risasi.
View attachment 1306038
Africa bila. Kua na viwanda vyetu tutateseka sana gari kama hiyo kuimiliki tuu ni garama kubwa!! Ukiinunua mtumba ndo itakufilisi maana kila kitu ni umeme na ni touchscreen na lifespan yake inakua ukingoni.Litakutesa kama watu wanavyohaha na battery la Toyota Prius Hybrid. Lile battery likifa ni nusu ya bei ya gari jipya (zero kilometer)
Sent from my SM-A205F using Tapatalk
Gari litanunuliwa na vichaaHii Tesla Cybertruck inabadili tafsiri ya gari kwa karne hii. Hii gari kimuonekano ni kama SUV lakini hili ni Pick up!.
Cha kuipa sifa zaidi yenyewe ni EV - electric vehicle lakini imeweza shindanishwa na gari kama Ford F-150.
Imagine siku ya kwanza baada ya kuzinduliwa watu 200,000 wakaweka oda.
Cheki sifa za huu mzigo:-
- Lina siti 6
- Lina autopilot
- Ndani kila kitu ni touchscreen
- Gari nzima ni bulletproof
- Ground clearance yake ni 40cm
- Linafika 100km/h ndani ya sekunde 2.9
- Linaweza vuta mzigo wa tani 6
- Betri yake inaenda umbali wa 800km (linakuja na 120 volt/240 volt AC hii betri unaweza tumia nyumbani).
View attachment 1306029View attachment 1306030View attachment 1306031View attachment 1306032View attachment 1306037View attachment 1306039
Bullet Proof vioo bado. Siku ya uzinduzi jiwe kidogo tu kioo kikaweka ufa. Ellon akasema kuna room for improvement. So theoretically YES ila practically BADO hatujaona maana ata body walitest na Nyundo sio risasi.
View attachment 1306038
Sasa hivi imeboreshwa?Ilimuaibisha sku hiyo akaanza kwa mbwembwe sema akaidodge vizuri
Prius inacheza kwenye sh ngapi na hizo betri kufa kwake inaweza kuchukua muda gani?Litakutesa kama watu wanavyohaha na battery la Toyota Prius Hybrid. Lile battery likifa ni nusu ya bei ya gari jipya (zero kilometer)
Sent from my SM-A205F using Tapatalk
Sasa hivi imeboreshwa?