GE2025 Tesha: Mimi ni kiongozi ambaye ninatatua matatizo bila kutegemea muongozo

GE2025 Tesha: Mimi ni kiongozi ambaye ninatatua matatizo bila kutegemea muongozo

Matukio, Taarifa, Habari na Mijadala ya Wananchi WAKATI wa Mchakato wa Uchaguzi Mkuu 2025

tonicimmobility

JF-Expert Member
Joined
Jun 17, 2025
Posts
493
Reaction score
1,038
Mtia nia wa Ubunge Jimbo la Moshi Vijijini Victor Tesha alivyojinadi kwa wajumbe ili wampe ridhaa ya kugombea katika Jimbo la Moshi Vijijini katika zoezi linaloendelea hii leo. Katika mazungumzo yake ya kumwaga sela Victor Tesha amewaahidi wanachi wa Moshi vijijini kuwa yeye ni kiongozi anayetatua matatizo bila kutegemea muongozo.

Soma pia: Prosper Tesha: Wachimbaji madini tumekubaliana kura zetu zote ni kwa Rais Samia


Chanzo: Kikeke digital
 
Back
Top Bottom