Hope mko poa kabisa,well naomba msaada nahitaji hiyo movie tajwa hapo juu kama kuna mwenye link ya ku-stream au ku-download anisaidie wakuu coz nimejaribu pita kwenye sites mbili tatu nashindwa kui-watch au ku-download wadau.
Natanguliza shukran kwenu. Natumia Internet Download Manager ku-download.