Hujambo kipenzi?πππππ
Hiyo ni ndoto maana kila siku wanalipwa 120000 nje na mishahara yao mpaka kesi itakapo isha baada ya miaka 3, huo ni mgodi unaotembea mkuu
Inazidi kuibua chuki kati ya hizi taasisi na kati yao na wananchi pia. Sio afya kwa mustakabal wa taifa.Hawa makomandoo wa JWTZ wameteswa sana aisee, mateso makali kudhalilishaji wa ubinadamu wao, hata JWTZ wenzao wasifurahie kitendo hiki kabisa kabisa. Hii kesi ifutwe tu, maana inaleta simanzi kubwa miongoni mwa watanzania.
Wao kazi yao ni kupiga pesa wala hakuna mtu anatetea maslahi ya nchi ni maigizo tupuMgodi sawa ila itakua jambo la busara kutumia akili kuona athari iliyopo mbele yao wasipochukua hatua sahihi. Kuna madhara makubwa sana kwao na kwa serikali.
Hujambo kipenzi?
Sheria ngumu au hujaelewa au unasikilizia?
Wao kazi yao ni kupiga pesa wala hakuna mtu anatetea maslahi ya nchi ni maigizo tupu
X-mas na mwaka mpya mazee, kila mwezi wanaigiziwa 3,600,000 nje na mishahara yao, usafiri bure, stationery n.k ni zaidi ya mgodi mkuuSafari hii huu mgodi unaweza kuwaporomokea. Haujakaa vizuri.
Tehe tehe!Hiyo ni ndoto maana kila siku wanalipwa 120000 nje na mishahara yao mpaka kesi itakapo isha baada ya miaka 3, huo ni mgodi unaotembea mkuu
Basi sawa.Sijambo kipenzi.
Nasikilizaaaa
Sawa mkuuTehe tehe!
Aaaaahhhh wapi!Nyie endeleeni tu kuwapa matumaini ya uomgo wafuasi wenu. Serikali wana ushahidi wa ugaidi. Ujanjaujanja wa kiwakili hauwezi kuepusha kesi kuendelea hadi hukumu.
X-mas na mwaka mpya mazee, kila mwezi wanaigiziwa 3,600,000 nje na mishahara yao, usafiri bure, stationery n.k ni zaidi ya mgodi mkuu