Ziroseventytwo Platinum Member Joined Mar 27, 2011 Posts 9,425 Reaction score 17,887 Feb 1, 2026 #1 Teofimo kapigana mapambano 23. Kashinda 22 kapoteza 1 Shakur kapigana 24 kashinda zote. Mpambano unaanza saa 8:15 ahsubuhi hii. Mwenye link atuwekee hapa Utabiri wangu Lopez Huyu muhuni atashinda.
Teofimo kapigana mapambano 23. Kashinda 22 kapoteza 1 Shakur kapigana 24 kashinda zote. Mpambano unaanza saa 8:15 ahsubuhi hii. Mwenye link atuwekee hapa Utabiri wangu Lopez Huyu muhuni atashinda.
Smart911 Platinum Member Joined Jan 3, 2014 Posts 177,396 Reaction score 195,228 Feb 1, 2026 #2 Ahsante kwa taarifa... Cc: Mahondaw