Mahcyn Aliy
Member
- Aug 8, 2016
- 37
- 3
jamani chuo kikuu cha teofilo kisanji tayari kimetoa majina ya wanafunzi waliochaguliwa kujiunga na chuo hicho kwa ngazi ya degree. vipi chuo hiki kipo vzuri???
KIPO POA TUjamani chuo kikuu cha teofilo kisanji tayari kimetoa majina ya wanafunzi waliochaguliwa kujiunga na chuo hicho kwa ngazi ya degree. vipi chuo hiki kipo vzuri???
ingia hapa www.teku.ac.tzWeka majina hapa..... Teku
mbeyaTeku campus ya wapi?
vp mkuu mbona unashanga??daaah....Teku kulaleki..
naomba namb zako nikutafte privatekaribu green city chuo kipo street kwetu block t
Hostel zipo za kumwaga ila watu wengi wanapendelea kupanga gettomazingira ya chuo yapoje? hasa ktk malazi na maeneo ha kujisomea.
Ila nn mkuu??Kina library kubwa kinoma utasoma mpaka upagawe. Ila mhhh
kwann wanapenda kupanga geto wakt hostel ni za kumwaga??Hostel zipo za kumwaga ila watu wengi wanapendelea kupanga getto
Usimtishe mkaka wa watu teku ni chakawaida cha muhimu ni kusoma tu jipange uende kusomaMhhhhhhh teku aisee jiandae sana