Teofilo kisanji university hiki kipo vzuri?

Teofilo kisanji university hiki kipo vzuri?

na je wanafunz wa mwaka wa kwanza 2016/17 wanatakiwa lini kufika chuoni?
 
Teku kiko poa Ile mbaya kwanzia hostel, MI jengo ya kusomea yan full japo night Kuna ka baridi kake asikwambie m2
 
Krb teku aseeh utatukuta tu npo BEDMATH..3YR
 
TEKU c na Tabora pia kipo jamani maana mm nmesoma Tabora Nlikuw Nasikia kuna TEKU
 
jaman kama kuna mtu mwenye taarifa kuhusu teku siku ya kuwasili kwa firs year students please atwambie. kwasababu kwenye web yao wametoa majina tu hawajasema ni lini watu waanza kufka chuoni.
 
Back
Top Bottom