Tent kwa ajili ya mgahawa

Tent kwa ajili ya mgahawa

kadunga

Member
Joined
May 4, 2020
Posts
68
Reaction score
51
Wakuu hope nyote mmeamka salama Naomba YOYOTE anaefaham wapi nawezapata tent nzuri kwa ajili ya mgahawa na Bei yake Aniunganishe au Anipe contact za muuzaji mkoa wowote.

Nitashukur kwa ushirikiano wenu nifanikiwe hili.

Nimeambatanisha na picha hapo chini.

IMG_20211013_173013_662.jpg
 
Back
Top Bottom