Tengeneza Midfield ya watu watatu hapa

Tengeneza Midfield ya watu watatu hapa

Emilio Mzena

JF-Expert Member
Joined
Jul 13, 2023
Posts
262
Reaction score
619
Tufanye wewe ndio kocha, hebu tengeneza kiungo chako cha watu watatu kutokea katika kundi hili la viungo pichani.

Mimi kwenye watu watatu, wa kwanza kabisa ni Sergio Busquets iwe jua au mvua anazima hapo kwenye DM.

Viungo wawili wa juu, nitaenda na KDB na Iniesta.

Lete kiungo chako tuone…
IMG_6730.jpeg
 
Hapo ngoma ngumu.
DM BUSQUETS VS NGOLO
CM modric, kroos, pogba na xavi
AT. Iniesta, KDB na ozil

Aisee hapa ngumu kumeza, mtu utachagua kwa sababu ya kimbinu zaidi.

Nikitumia double pivot basi ni ngolo,pogba na kdb
Iliwa DM mmoja basi ni BUSQUETS, xavi na ozil.
 
Tufanye wewe ndio kocha, hebu tengeneza kiungo chako cha watu watatu kutokea katika kundi hili la viungo pichani.

Mimi kwenye watu watatu, wa kwanza kabisa ni Sergio Busquets iwe jua au mvua anazima hapo kwenye DM.

Viungo wawili wa juu, nitaenda na KDB na Iniesta.

Lete kiungo chako tuone…View attachment 3333737
Kante,xavi,de bruyne
 
Hapo ngoma ngumu.
DM BUSQUETS VS NGOLO
CM modric, kroos, pogba na xavi
AT. Iniesta, KDB na ozil

Aisee hapa ngumu kumeza, mtu utachagua kwa sababu ya kimbinu zaidi.

Nikitumia double pivot basi ni ngolo,pogba na kdb
Iliwa DM mmoja basi ni BUSQUETS, xavi na ozil.

Modric ni AT, ameenza kucheza CM huu ni msimu wa pili tu baada ya kuzeeka
 
Casemiro (iwe mvua iwe jua huyu lazima aanze)
Modric
Kroos

Hao kwangu Hadi Sasa hivi ndio partnership Bora zaidi ya viungo, ni roho ya back to back UCL.
 
Sasa kwani kuna midfield iliteka Dunia kama Sergio, Xavi na Iniesta kwenye prime yao.
 
POGBA, KANTE, INIESTA.

Hapo Kante anakaba, Pogba anapiga pasi zake zile hatari na zenye maono(vision), Iniesta anachezesha timu, anauwezo wa kukokota mpira, Kupunguza wachezaji, Kufungua vyumba na kupiga pasi za mwisho.
 
Siku zinaenda Kasi sana yani Pirlo ni WA kukosa kwenye hii list
Anyway Kroos lazima awepo na kdb mwisho Modric
 
Back
Top Bottom