bonna
JF-Expert Member
- Jun 13, 2011
- 855
- 520
Ninafanya programming ya devices hasa custom made devices ( zile ambazo mtu wa electronics anatengeneza mwenyewe from scratch, mfano barcode reader etc). ready-made devices nyingi huja na software zake kwenye box.
Ninacho develop mimi SIO device drivers bali ni Application software ya ku interact na device yako, yaani we unganisha resistors zako, capacitors, IC's etc ili viweze kufanya kitu flani (ambacho labda ndo idea uliyonayo). Weka serial connection kwenye Circuit Board yako. program IC yako na PLC mfano.
(IC's zinatofuatiana na PLC board za kuziprogram kwaiyo siwezi kuwa na collection ya plc's) then ukija kwangu tunachunguza kifaa/circuit chako ina tuma data thru which port/socket (to pc) bit na baud rate etc then natengeneza software .
Kwa wale ambao hawajanielewa..nicheki PM, natengeneza app za kawaida pia distributed applications..zinazo intergrate na sql servers/applications that operate kwenye network enviroment, database etc
Sifanyi development ya android apps/websites. ila najua wanaofanya hizo mambo. charges zangu kidogo sanaaa.