high vampire
JF-Expert Member
- Nov 17, 2012
- 2,950
- 2,190
Nikigundua umenunua shamba lako sio la familia, shamba linauwza hela yote inakuwa ya familia.Hii inafaa kwa wanawake zaidi maana wao ndio wanaoumia zaidi ndoa ikivunjika.
Maana mara nyingi ndio wanaoteseka sana na kukosa muelekeo.
Hii inaweza kuwa msaada kwao.
Inafaa kwa wote kiongozi sababu nmeona watu wanaachana na wanagawana mali na kule kijijini walikotokea hawana chochote wanabaki kupata magonjwa lakini kama una asset ya ardhi inakuwa afadhari pa kuanziaHii inafaa kwa wanawake zaidi maana wao ndio wanaoumia zaidi ndoa ikivunjika.
Maana mara nyingi ndio wanaoteseka sana na kukosa muelekeo.
Hii inaweza kuwa msaada kwao.
Mi nikajua backup ya mchepuko. Hizi mali tunadedi tunaziachaNa Ukifa ghafla wanao wanadhurumiwa!!!
Mi nikajua backup ya mchepuko. Hizi mali tunadedi tunaziacha
Ndoa za siku hizi zinakuwa na mambo mengi pengine hata wakati mwingine zinaanguka Kabisa Sasa wakati zinapoanguka inaathiri uchumi hasa wa wanaume kupeleka hata kupata magonjwa ya moyo
Sasa unatakiwa kutengeneza back up ya asset Incase hata mkiachana zile asset zinabaki salama mfano unaenda kule ulikozaliwa unanunua shamba ambalo mtu wa karibu kama mama yako ndio anajua tu then mkiachana inakuwa rahisi ww kupata pa kuanzia
Sent from my Nokia 5.3 using JamiiForums mobile app
Sometimes sio nzuri,mali ya watoto wako inaweza kupotea kizembe kwasababu tu hakuna anaejua ilipo. Mfano ikitokea umekufa nani atakaejua kama baba/mama yao alikua na mali kisiri,matokeo yake watoto wanageuka ombaomba wakati wangeweza kuishi vizuri tu. Kumbuka ukifa ndugu zako sio rahisi kuwajali watoto wako ila watajali mali ulizoacha tu.Ndoa za siku hizi zinakuwa na mambo mengi pengine hata wakati mwingine zinaanguka Kabisa Sasa wakati zinapoanguka inaathiri uchumi hasa wa wanaume kupeleka hata kupata magonjwa ya moyo