Mbwa Mpole
Member
- Jul 18, 2012
- 11
- 1
Baada ya kuuawa kwa Mwangosi Tendwa kama kawaida yake alikurupuka na kutoa kauli za utata na zisizo na umakini dhidi ya CHADEMA. Kama Tenwa alikilaumu CHADEMA kwa vurugu aone sasa UVCCM, sijui mpaka afe mtu ndio inaitwa vurugu na kuhatalisha amani. Aidha, nadhani tendwa anasoma magazeti kujua madai ya rushwa inavyodaiwa kutawala katika chaguzi za CCM. Pamoja na haya yote sijamsikia Tendwa bingwa wa kukurupuka akiongea na vyombo vya habari kuhusu rushwa na vurugu katika chaguzi za CCM. Sasa sijui amejifunza na kuacha kukurupuka, au anakiongopa chama tawala ambacho ni mwajili wake, au ndio tuseme ni kweli huwa anawaonea wapinzani kwa kuwashambulia harakaharaka bila hata ya kuchunguza ukweli wa mambo na hali halisi.
Ili uwe na akili ya tendwa inabidi uwe umepitia MIREMBE hospital kwa vichaa!! na "kutendwa" kwa saaanaaa!!Baada ya kuuawa kwa Mwangosi Tendwa kama kawaida yake alikurupuka na kutoa kauli za utata na zisizo na umakini dhidi ya CHADEMA. Kama Tenwa alikilaumu CHADEMA kwa vurugu aone sasa UVCCM, sijui mpaka afe mtu ndio inaitwa vurugu na kuhatalisha amani. Aidha, nadhani tendwa anasoma magazeti kujua madai ya rushwa inavyodaiwa kutawala katika chaguzi za CCM. Pamoja na haya yote sijamsikia Tendwa bingwa wa kukurupuka akiongea na vyombo vya habari kuhusu rushwa na vurugu katika chaguzi za CCM. Sasa sijui amejifunza na kuacha kukurupuka, au anakiongopa chama tawala ambacho ni mwajili wake, au ndio tuseme ni kweli huwa anawaonea wapinzani kwa kuwashambulia harakaharaka bila hata ya kuchunguza ukweli wa mambo na hali halisi.
Nadhani alikuwa anatikisa kiberiti, hana uwezo wowote wa kisheria wa kuzuia ruzuku za vyama vya upinzani.Vipi zile cheki za ruzuku za vyama mbadala amekwizishatoa?
Hathubutu kuwaongelea kwa mabaya CCM, unataka kitumbua chake akitie mchanga! Huyo jamaa inaeleweka wazi pale aliposema atakifuta Chadema kutokana na kusababisha fujo, hata nafsi yake ilikuwa inamsuta. Lakini angefanyeje, wakati waliomuagiza atekeleze maagizo ya kuifuta Chadema ni hao mabosi wake waliompa hiyo post?!Anatafuta maneno ya kuongea na ikishindikiana atakaa kimya,hawezi kuongea utumbo kama ule kwa mabwana zake CCM.