Re: Tendwa kuweka historia?Tendwa akifuata sheria na kumtosa ata loss nini kwani JK atakuwa rais tena rais si atakuwa Slaa .Go Tendwa onyesha busara fuata sheria si ulikuwa Judge ww weka historia
Tuacheni ushabiki usiokuwa na utashi. TUCTA iliitisha mgomo nchi nzima: Madaktari, manesi, walimu, wafanyakazi wa ndani, mapolisi na hata wanajeshi walishawishiwa kugoma. Taasisi zote za umma na za binafsi. Ukweli ni kwamba Nchi ingesimama. Mgomo huu ulisitishwa kwa ahadi kwamba serikali ingefanya majadiliano na Wafanyakazi. Je hii haikuwa dharura? serikali iliwaita wafanyakazi na kuwaahidi majadiliano ambayo pamoja na mambo mengine, nyongeza ya mishahara ilikuwamo. Lakini tupate jibu moja kutoka kwa Dr. Slaa atawezaje kuondoa ukabila ulioko CHADEMA ambao uko waziwazi au nyie mashabiki wake mnataka Nchi igawanyike kwa Makabila
Dr Slaa alishindwa kujibu swali la mpiga kura wa Bahi aliyemuuliza atalipa vipi mshahara wa TZS 315,000; kusomesha wanafunzi mpaka kidato cha sita bure, huduma za matibabu bure nchi nzima wakati huo huo anaondoa na kupunguza kodi. Majibu yake aliyabrush out. Na hii inaonesha mwanzo wa ubabaishaji kama ule ule tu. Slaa hatoki mbinguni, ni Mtanzania, mwenye hulka, mila na desturi za kitanzania, hayo yanaonesha kwenye mwenendo na matendo yake halisi. Hebu mtazameni kwa undani hana jipya. Upya wake ni kugombea urais tu wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania.
Urais ni taasisi na Rais ni msimamizi tu wa taasisi hiyo. Sina uhakika Slaa amejiandaa vipi kitaasisi kwa sababu naona watu wanaomzunguka ni wale wanaokopa Benki halafu hawataki kulipa madeni, hawataki kulipa kodi za Serikali na uwezo wao wa kiuongozi ni QUESTIONABLE. lakini wengine ni makapi ya CCM ambao wamekwenda huko kama opportunists. Hili nalo lanipa shaka. Kwani Tabia haibadiliki uzeeni bali hukuzwa tangu utotoni. Mtu aliyekulia CCM kufikia miaka 50 kama baadhi ya wagombea ubunge wa CHADEMA wa majimbo fulani fulani hawatakuwa na PRECEDENTS mpya zaidi ya kufanya marejeo kwenye UZOEFU wao. Hamulioni hilo. REJEA tu kule KENYA, baada ya NARC ya Kenya kushika madaraka ufisadi uliongezeka badala ya kupungua, lakini NARC walikuwa kama SLAA.
Tujitazame upya sisi kama Watanzania, SLAA kakomazwa na kanisa katika uongozi ILA SAFU YAKE INAYOMZUNGUKA BADO haina uwezo, utashi wala umakini wa kuiendesha NCHI HII labda miaka ijayo sio sasa.
Tendwa ana mwanaye afanyae kazi IKULU.
mnataka atokomezwe yeye na kizazi chake?
Tujiandae kulalamika kwa uamuzi atakaoutoa.
Nshanusa uvundo
Tunahitaji mtu mmoja tuu wa kubadirisha hii nchi kama walivyofanya akina Jerry wa Ghana,Kagame Ruanda,na Jonathan NIgeria,wezi wote hawapaswi kupita watapumzishwa tuu amini usiamini Dr Slaa hoye -Peoples Power
Akitenda haki Tendwa, utakuwa muujiza wa kwanza mwaka huu, mingine mingi itafuata. Namwomba Mungu muujiza huu utokeeee.
Kwanini tulazimishe ushindi wa mezani na kudharau uamuzi wa wananchi? Kama wananchi wamechoshwa na utawala wa JK wala hatuna haja ya kumtumia Tendwa kumwondoa JK madarakani. Sasa by default Tendwa anandaliwa kuwa kisingizio cha kushindwa kwa upinzani Tz, wapizani HATUNAZO.....kisingizio ambacho Tendwa can afford. Inakula kwetu.
Duh! yaani jamaa ni....Asipotenda si anatendwa tu?
Tuacheni ushabiki usiokuwa na utashi. TUCTA iliitisha mgomo nchi nzima: Madaktari, manesi, walimu, wafanyakazi wa ndani, mapolisi na hata wanajeshi walishawishiwa kugoma. Taasisi zote za umma na za binafsi. Ukweli ni kwamba Nchi ingesimama. Mgomo huu ulisitishwa kwa ahadi kwamba serikali ingefanya majadiliano na Wafanyakazi. Je hii haikuwa dharura? serikali iliwaita wafanyakazi na kuwaahidi majadiliano ambayo pamoja na mambo mengine, nyongeza ya mishahara ilikuwamo. Lakini tupate jibu moja kutoka kwa Dr. Slaa atawezaje kuondoa ukabila ulioko CHADEMA ambao uko waziwazi au nyie mashabiki wake mnataka Nchi igawanyike kwa Makabila
Dr Slaa alishindwa kujibu swali la mpiga kura wa Bahi aliyemuuliza atalipa vipi mshahara wa TZS 315,000; kusomesha wanafunzi mpaka kidato cha sita bure, huduma za matibabu bure nchi nzima wakati huo huo anaondoa na kupunguza kodi. Majibu yake aliyabrush out. Na hii inaonesha mwanzo wa ubabaishaji kama ule ule tu. Slaa hatoki mbinguni, ni Mtanzania, mwenye hulka, mila na desturi za kitanzania, hayo yanaonesha kwenye mwenendo na matendo yake halisi. Hebu mtazameni kwa undani hana jipya. Upya wake ni kugombea urais tu wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania.
Urais ni taasisi na Rais ni msimamizi tu wa taasisi hiyo. Sina uhakika Slaa amejiandaa vipi kitaasisi kwa sababu naona watu wanaomzunguka ni wale wanaokopa Benki halafu hawataki kulipa madeni, hawataki kulipa kodi za Serikali na uwezo wao wa kiuongozi ni QUESTIONABLE. lakini wengine ni makapi ya CCM ambao wamekwenda huko kama opportunists. Hili nalo lanipa shaka. Kwani Tabia haibadiliki uzeeni bali hukuzwa tangu utotoni. Mtu aliyekulia CCM kufikia miaka 50 kama baadhi ya wagombea ubunge wa CHADEMA wa majimbo fulani fulani hawatakuwa na PRECEDENTS mpya zaidi ya kufanya marejeo kwenye UZOEFU wao. Hamulioni hilo. REJEA tu kule KENYA, baada ya NARC ya Kenya kushika madaraka ufisadi uliongezeka badala ya kupungua, lakini NARC walikuwa kama SLAA.
Tujitazame upya sisi kama Watanzania, SLAA kakomazwa na kanisa katika uongozi ILA SAFU YAKE INAYOMZUNGUKA BADO haina uwezo, utashi wala umakini wa kuiendesha NCHI HII labda miaka ijayo sio sasa.
Kiranga, i am with you, I can bet my last breath, hawezi kukubali.. kama umekuwa ukimfuatilia huyu jamaa, na maneno yake mara baada ya hili lalamiko kupelekwa kwake utakuwa umepata jibu atakalotoa.... CHADEMA ni kwenda mahakamani tu , hamna kingine..I can bet my last shilling Tendwa hawezi kukubali pingamizi hili.