kama ni kwa siku kiafya ni mala 2 usiku na alfajili kamoja ka kutosha ,na kama kwa wiki basi ijumaa kuamkia j mosi mala 3 na j mosi kuamkia j 2 piga show safi mala 3 then wiki mzima unakua safi na mnakua mnataman wkend ifike ndivyo tulivyoish sisi bibi zenu enzi zile na babu zenu na ndoa zilidumu sasa nyie wa leo mm hata nashindwa kuelewa