Tendo la ndoa mara ngapi ki-afya?


Kama kuna watu comment zao zinaendana na Avatar basi wewe nambari one.
 
Kila mashine inaposimama ipe kitu inataka!!!!

Sent from my BlackBerry 9780 using JamiiForums
 
Au kiafya zaidi:

Piga kila siku goli 8,hakikisha kila goli ni masaa matatu kwa hiyo kwa siku utakuwa unagegeda kwa masaa 24 tu!

Nakuhakikishia hautapata tena tatizo la nyege utakuwa unazisikia kwa jirani tu

Sent from my BlackBerry 9780 using JamiiForums
 
jibu sahihi angalia wanyama wanavyofanya, binadamu uroho mtupu ndo maana rate ya kuzeeka nikubwa sana

sent from my blackberry 8520 using jamiiforums
wanyama wanafanya kwa ajili yakuzaliana sie binadamu ni starehe tuliyopewa na mungu!!
 
at lest 3tm per week ..... kumbuka kwa siku hiyo moja unaweza piga hata bao 5 au 6 ....

Hv wanaposema ufanye MARA 2 au 3 kwa siku, wastan wa kupiga mbao NGAPI?....sio Kila tukio unapiga kimoko?
 
Dah huu ushauri mkuu ni hatari kwa ndoa ya huyo muuliza swali.......ha ha ha ha ila umefanya siku yangu inaisha vizuri.
unajua maswali mengine hayaulizwi.
Huwezi kuwa na mashine imekauka,
inatikisa kichwa...iko tayari kwa matumizi..
na mko nyumbani, kitandani ....
eti leo si ratiba!!!!?
Sababu tosha ya kutafuta malisho ya kijani.
 
Nina miaka 5 na wife, lakin ya mim kuwa na yeye kati ya hiyo miwili ya ndoa but usiku nakula 1 asubuh moja hiyo j.3 mpaka ijumaa.. Weekend nakula hata Sita maana sitoki ndani na gym napiga.
 
5 times a day .early morning,after shower by 7am,lunch break 12pm , 5pm after tea time ,8pm while watching Tv or porno, 12 am goodnight
Mzungu anaweza? Tunadanganyana Muke ya Muzungu
 
Naona kama walio wengi wanataja ratiba ya mara 2/3 @ wiki....
Wale wa dozi ya mara 3-5 @ siku nadhan watakuwa wamejaliwa kuwa na kipaji maalum
 
Lyagaaaaaa

Sent from my BlackBerry 8520 using JamiiForums
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…