fundi bishoo
JF-Expert Member
- Jun 26, 2018
- 14,498
- 27,813
samahani mkuuSidhani kama kuniambia kuwa mimi ni bwege upo sawa!!
Mimi nimeuliza kutaka kujua tu kwamba kwanini ni busara kifanyia sirini!?
Sikuwa na lengo baya mkuu!!
Sent using Jamii Forums mobile app
Unamaanisha kuwa kuna maeneo hapa duniani ni rasmi kufanya tendo hilo hadharani!?
Atatamani kufanya nao wawe watatu!?[emoji23][emoji23]Kutokana na nature iliyojijenga kwa mwanadamu kuwa tendo ni la wawili tuu. Likifanyika hadharani kila atakayeona atataka maana husisimua maana tumeumbiwa tamaa. Hivyo ingezua ugomvi
Sent using Jamii Forums mobile app
Mkuu kama ulishawahi kufanya hadharani basi tuambie kuwa kwanini si busara kufanyia hadharani.We Jaribu Kufanya hadharani afu utaona nini kisichokuwa sirini tena yaani utaelewa tu
kajaribu leo afu utatupa mrejesho hapa
Mkuu unamaanisha tunafanya sirini kwa sababu tunahisi hiyo ni dhambi!?Imekuwa hivyo baada ya kugundua kuwa Ni dhambi Ila tuna force tu maana hakuna namna..rejea KITABU Cha mwanzo katika biblia
Sent using Jamii Forums mobile app
Nakazia mkuu,tena ivyo viungo haviuzwi
Kwanini mkuu NAHUJA ?Hata mnyama paka anapenda kufanya akiwa FARAGHA
Kwanini unasema nitapata sana pesa mkuu NAHUJA ?NAKAZIA:
Eneo alipo ajitahidi kufanyia kwenye uwanja mfano wa mpira, kama sie Mwanza tuna CCM Kirumba, halafu apitishe matangazo kuwa kutakuwa na huo "mchezo" atangaze na kiingilio kabisa cha watazamaji, atavuna hela sana.
Naamini wananchi wengi watapenda kuona hiyo match kwa kuwa sio rahisi kupata wasaa wa kuiona mara kwa maraKwanini unasema nitapata sana pesa mkuu NAHUJA ?
Kwani wewe ulishawahi kufanya hivyo na ukapata pesa nyingi?!
Sent using Jamii Forums mobile app
Kwa hiyo kufanyia sirini ni sharti la kuwa binadamu?Kama ambavyo hatuogi hadharadhi, hatuendi haja kubwa kubwa na ndogo hadharani... huo ndio U-bin-Adam
Linaitwa tendo la ndoa au kufanya mapenzi, kwanini iwe siri?!Umeshasema tendo la ndoa, sasa unataka nani mwingine aone tufauti na wanandoa wanaohusika?
Sent using Jamii Forums mobile app