Nipo ' Kamarada ' wangu. Ngoja Kwanza nicheki ratiba zangu nitakutaarifu ila leo kuna Watu wanadhani ' Wapuuzi ' Real Madrid wanabeba Kombe na najua kuna Watu ikifikia Saa 5 Usiku wa leo wanaweza wasiamini macho na masikio yao pale ambapo ' Fantastic ' Captain wa Liverpool FC Jordan Henderson atakaponyanyua Kwapa / Kombe la UEFA Champions League akitoke pande za ' Kiev ' nchini Ukraine.
Sijawahi Kupenda Timu mbovu duniani na ndiyo maana nashabikia sana....
Simba SC ya Tanzania
Liverpool FC ya Uingereza
FC Barcelona ya Hispania
Paris Saint Germain ( PSG ) ya Ufaransa
Borussia Dortmund ya Ujerumani
Corinthians FC ya Brazil
River Plate ya Argentina
AC Milan ya Italia
Kaizer Chiefs ya Afrika ya Kusini
Macabi Haifa ya Israeli
Biashara United ya Mkoani Mara ( Musoma )
Liverpool FC isipokuwa Bingwa usiku wa leo naogelea kutoka Feri hadi Kigamboni kwenda na kurudi huku nikiwa nimezama tu ndani ya Maji bila kuibuka juu.