Tender ya KUTENGENEZA KEKI, UPAMBAJI, NA KUTENGENEZA KADI ZA HARUSI

ladyfurahia

JF-Expert Member
May 10, 2011
14,699
9,463
Habari wandugu

Mimi ni mtaalamu wa mambo mbalimbali ninatafuta tenda za kupamba katika kumbi mbalimbali za sherehe, au shughulli kama vile mikutanoni, misibani, na shughuli yoyote, ni mtaalamu wa kutengeneza kadi mbalimbali za harusi, iwe kitchen party, sendoff, harusi, misiba na mtengenezaji wa Tshirt mbalimbali ziwe za maofisini, sehemu za promotion, na sehemu mbalimbali kwenye mikutano, ya kiofisi, kibiashara n.k, na vilevile ni mtengenezaji wa keki za harusi , birthday, kitchen, sendoff, na kadhalika.

Kama unahitaji kufanyiwa huduma hizi kwangu na uwe serious kwa jambo hili, basi usisite kuwasiliana nami kupitia hizi contact zangu hapa chini:-
Email:nikprintgraphics@yahoo.c
om, simu no. 0784960517

Nimeambatanisha mojawapo ya huduma zangu angalia attachment hy;
paperclip.png
<img width="16" height="16" src="template/JamiV1/default/misc/paperclip.png" class="inlineimg" alt="Attached Thumbnails" /> Attached Thumbnails
attachment.php
 
Back
Top Bottom