Tende zinauzwa kwa bei nafuu

Tende zinauzwa kwa bei nafuu

Ndio mkuu. Karibu

Japo nimechelewa kuziona hebu ngoja tuona namna gani tunaweza tukafanya nikapata box 1 zikawepo tu ndani mkuu.

Ni nzuri ukawa nazo ndani sio lazma kipindi cha Ramadhani pekee...!

Namba yako ipo hapo juu...?
 
Natumai ni leo hii kiongozi...!

IMG-20210507-WA0016.jpg


IMG-20210507-WA0020.jpg


Hizi ni kama zinavyoonyeshwa kwenye box hapo. Mtaani hua wananunua na kupima kwenye vikopo mathalan. Kama ilivyooneshwa kwa picha ya kikopo.
Box zima (uzito kilo 10) ni shs 52,000/-. Kama uko Dar es salaam popote unaletewa box.
 
Natumai ni leo hii kiongozi...!

IMG-20210507-WA0017.jpg


IMG-20210507-WA0022.jpg


Hizi nazi ni aina nyingine pendwa kabisa, kama zinavyoonyeshwa kwenye box hapo. Zinakua kwenye packets Kama ilivyooneshwa kwa picha hapo.
Box zima (uzito kilo 10) ni shs 53,000/-. Kama uko Dar es salaam popote unaletewa box.
 
Back
Top Bottom