pdozen_nation Member Joined Nov 12, 2015 Posts 52 Reaction score 122 Oct 19, 2023 #1 Natafuta mc na mzikiwake wa shughuli ndogo tu ya watu 150 kwenye ukumbii kama yupo umu au una ndugu yako ana mziki na ni MC shughuli ni tarehe 2/12 tuwasiliane 0685141035 [emoji1545] ofaa yangu 600,000
Natafuta mc na mzikiwake wa shughuli ndogo tu ya watu 150 kwenye ukumbii kama yupo umu au una ndugu yako ana mziki na ni MC shughuli ni tarehe 2/12 tuwasiliane 0685141035 [emoji1545] ofaa yangu 600,000
aise JF-Expert Member Joined May 16, 2018 Posts 8,073 Reaction score 22,666 Oct 19, 2023 #2 Nipe tenda ya kugawa vinywaji siku ya shughuli, kuna kasuti kangu nataka nikazindue natafuta location.
Nipe tenda ya kugawa vinywaji siku ya shughuli, kuna kasuti kangu nataka nikazindue natafuta location.
H hakomana sekemesekeme JF-Expert Member Joined Oct 15, 2023 Posts 645 Reaction score 1,577 Oct 19, 2023 #3 nipe lakinane nikuletee mziki mnene mkuu.