Tenda ya kuku kwenye mahoteli na migahawa

mb orginal

New Member
Joined
Jun 3, 2014
Posts
4
Reaction score
0
Habari wadau wa jamii forum, natafuta tenda ya kuleta kuku wa nyama kwenye mahotel na sherehe mbali mbali kwa yoyote mwenye kuhitaji tuwasiliane whatsup no 071b423251. Ni kwa dar pekee. Ahsanteni
 
Kiongozi hii namba yako tuwasilishie tena kwa ufasaha, lkn kwa kuku mmoja unauzaje na je unaweza kuleta popote tutakapohitaji ikiwa tu ni ndani ya dar?
 
Habari wadau wa jamii forum, natafuta tenda ya kuleta kuku wa nyama kwenye mahotel na sherehe mbali mbali kwa yoyote mwenye kuhitaji tuwasiliane whatsup no 071b423251. Ni kwa dar pekee. Ahsanteni

Wateja wako ni wenye simu za Android tu
 
Habari wadau wa jamii forum, natafuta tenda ya kuleta kuku wa nyama kwenye mahotel na sherehe mbali mbali kwa yoyote mwenye kuhitaji tuwasiliane whatsup no 071b423251. Ni kwa dar pekee. Ahsanteni

Namba yako ya tehrani nini?
 
Back
Top Bottom