Tenda wema uende zako

Mwanangu kuwa uyaoneee... sio majumba na magarii! kuwa uyaone ya wanadamu.
KAPIGE KURA LEO KWA IKIPTA NDI BASI TENA MPK 2019 SERIKALI ZA MITAA NA 2020 NDIO KAMA HUU TENA WA RAIS,WABUNGE&MADIWANI.

mimi nampgia Mzee wa Monduli na sisikilizi fitina za watu nampenda Lowassa full stop!
 
Pole sana,jambo lakuambiwa daima linauma,na kwanini ukae kimnya tafuta siku muafaka ukaenae chini kiume umweleze au umulize kosa lako nini mpaka anakusema vibaya kwa watu? au umefanya makosa kumsaidia? usifiche shuru mwenyezi mungu amekuonyesha mtu kama huyo hashindwi hata sumu kukutilia,mwambie ajijue na hapo kwako mwenyewe atapaona kituo cha police....
 

Huo msemo kwako umepoteza maana, wema ni Kati yako ww, unayemtendea pamoja na Mungu wako, kuja kwako hapa na kututangazia huo wema wako na kumuanika huyo jamaa hustahili kabisa kutumia huo msemo.... Ungemueleza jamaa kuhusu hayo anayoyafanya na kama akashindwa kukuelewa bas ni kumuepuka na kupiga kimya ibaki siri moyoni mwako na Mungu angekulipa kwa yote uliyomtendea na sivyo ulivyo fanya.
 
Ww Unamfahamu Mpka Useme Nimemuanika?? Then Ulitaka Nikurupuke Tuu Kuanza Kumwambia?? Then Point Yangu Kubwa Si Kutafuta Kuyamaliza Na Huyu Jamaa Ila Nilitaka Watu Wajue Jinsi Binadamu Na Marafik Walivyo!! Yy Aniseme Weeeee...Its Ok!!!
 

sure sm tm cna marafiki.
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…