GeniousMbishii
Member
- Jun 22, 2014
- 42
- 7
Nauza na pia Natafuta tenda ya ku supply unga wa sembe ku mashule au hata watu binafsi kwa jumla na rejareja coz nina maroba ya kutosha.kwa jumla kilo 700 tu,,na unga ni mzuri sana.npo karibu na uwanja wa majimaji songea nyote mnakaribshwa
unaweza kunipm au nichek thu 0752750598
unaweza kunipm au nichek thu 0752750598