Infantry Soldier
JF-Expert Member
- Feb 18, 2012
- 17,306
- 19,822
Habari za muda huu ndugu zangu. Napenda fahamu ni kiasi gani wanacholipwa waajiriwa wa muda (tempo) katika mamlaka ya mapato tra. Nisaidieni kwa anayefahamu asanteni.
10000 per day
Elfu 10?
Sent from my BlackBerry 9300 using JamiiForums
10000 per day
Zinapatikanaje manake naona tu
hawatoi chochote acha kupotosha umma wewe!10000 per day
hawatoi chochote acha kupotosha umma wewe!
muulize aliyekupigia pande