Tembo wa TANAPA watishia maisha ya watu Mang'ula

Tembo wa TANAPA watishia maisha ya watu Mang'ula

Magane

JF-Expert Member
Joined
Jul 18, 2011
Posts
202
Reaction score
57
Hali ya maisha ya wakazi wa Mang'ula yako hatarini baada ya kundi kubwa la tembo kutoka milima ya Udzungwa kuvamia mji mdogo wa Mang'ula. Mamlaka husika ichukue hatua haraka kabla madhara makubwa kwa watu pia na wanyama hayajatokea.
 
Poeni sana
labda tembo wanafanya land reclamation ya mababu zao .
 
Wanakumbukia mapito yao.
Hakunaga tembo wa TANAPA,tembo tembo tu.
 
Back
Top Bottom