Edgartz JF-Expert Member Joined Feb 26, 2010 Posts 241 Reaction score 23 Nov 1, 2014 #1 Tembea uone hizi ndo bucha za wenzetu Attachments 1414833446127.jpg 61.7 KB · Views: 808
HARUFU Platinum Member Joined Jan 21, 2014 Posts 31,704 Reaction score 48,142 Nov 1, 2014 #2 Mkuu hapo Lilongwe, Blantyre au Mangochi?
Edgartz JF-Expert Member Joined Feb 26, 2010 Posts 241 Reaction score 23 Nov 1, 2014 Thread starter #3 Daah kiongozi maeneo yote uliyotaja wanauza nyama kwa dizaini hii ila hapa ni tete mozambique
Kitoabu JF-Expert Member Joined Jul 7, 2011 Posts 11,083 Reaction score 12,325 Nov 1, 2014 #4 Edgartz said: Daah kiongozi maeneo yote uliyotaja wanauza nyama kwa dizaini hii ila hapa ni tete mozambique Click to expand... Qui distrito em tete?
Edgartz said: Daah kiongozi maeneo yote uliyotaja wanauza nyama kwa dizaini hii ila hapa ni tete mozambique Click to expand... Qui distrito em tete?
Edgartz JF-Expert Member Joined Feb 26, 2010 Posts 241 Reaction score 23 Nov 1, 2014 Thread starter #5 Se amigo
M makubazi JF-Expert Member Joined Feb 15, 2013 Posts 2,047 Reaction score 365 Nov 1, 2014 #6 Kama hapo ndo bei poa tena sana
Edgartz JF-Expert Member Joined Feb 26, 2010 Posts 241 Reaction score 23 Nov 2, 2014 Thread starter #7 makubazi said: Kama hapo ndo bei poa tena sana Click to expand... Bei ni juu kama kawaida
Kv-london JF-Expert Member Joined Jan 24, 2014 Posts 2,893 Reaction score 5,067 Nov 2, 2014 #8 Mbona hata huk kigoma kijij cha kitambuka tunaishi na kununua nyama kiivyo then bei cheee buk2
Marire JF-Expert Member Joined May 1, 2012 Posts 12,333 Reaction score 5,313 Nov 2, 2014 #9 hata huku kwetu ile nyama pendwa kitis inauzwa style hiyo hiyo___ hapa machame shari
Edgartz JF-Expert Member Joined Feb 26, 2010 Posts 241 Reaction score 23 Nov 2, 2014 Thread starter #10 Marire said: hata huku kwetu ile nyama pendwa kitis inauzwa style hiyo hiyo___ hapa machame shari Click to expand... Mmh me kwa tz nilijua hamna style kuuza nyama kama hivi na hapa ni mjini sio kijiji
Marire said: hata huku kwetu ile nyama pendwa kitis inauzwa style hiyo hiyo___ hapa machame shari Click to expand... Mmh me kwa tz nilijua hamna style kuuza nyama kama hivi na hapa ni mjini sio kijiji
MANI Platinum Member Joined Feb 22, 2010 Posts 7,318 Reaction score 6,395 Nov 2, 2014 #11 Edgartz said: Daah kiongozi maeneo yote uliyotaja wanauza nyama kwa dizaini hii ila hapa ni tete mozambique Click to expand... Maeneo hayo yote yana kama uingiliano wa aina fulani sijui kwa sababu wamepakana.
Edgartz said: Daah kiongozi maeneo yote uliyotaja wanauza nyama kwa dizaini hii ila hapa ni tete mozambique Click to expand... Maeneo hayo yote yana kama uingiliano wa aina fulani sijui kwa sababu wamepakana.
Edgartz JF-Expert Member Joined Feb 26, 2010 Posts 241 Reaction score 23 Nov 2, 2014 Thread starter #12 MANI said: Maeneo hayo yote yana kama uingiliano wa aina fulani sijui kwa sababu wamepakana. Click to expand... Yaah nazani ndo sababu
MANI said: Maeneo hayo yote yana kama uingiliano wa aina fulani sijui kwa sababu wamepakana. Click to expand... Yaah nazani ndo sababu
Miss Neddy JF-Expert Member Joined Nov 3, 2013 Posts 14,684 Reaction score 8,757 Nov 2, 2014 #13 makubazi said: Kama hapo ndo bei poa tena sana Click to expand... afya ya mlaji inazingatiwa kweli
Edgartz JF-Expert Member Joined Feb 26, 2010 Posts 241 Reaction score 23 Nov 2, 2014 Thread starter #14 miss neddy said: afya ya mlaji inazingatiwa kweli Click to expand... Itazingatiwa vipi na mazingira kama hayo na kipindi cha mvua ndo balaa tupu
miss neddy said: afya ya mlaji inazingatiwa kweli Click to expand... Itazingatiwa vipi na mazingira kama hayo na kipindi cha mvua ndo balaa tupu
MO11 JF-Expert Member Joined Mar 23, 2014 Posts 19,560 Reaction score 41,509 Nov 2, 2014 #15 miss neddy said: afya ya mlaji inazingatiwa kweli Click to expand... afya kitu gani wewe unafikiri zile nyama za makopo ndio zenye afya ?
miss neddy said: afya ya mlaji inazingatiwa kweli Click to expand... afya kitu gani wewe unafikiri zile nyama za makopo ndio zenye afya ?
Miss Neddy JF-Expert Member Joined Nov 3, 2013 Posts 14,684 Reaction score 8,757 Nov 2, 2014 #16 MO11 said: afya kitu gani wewe unafikiri zile nyama za makopo ndio zenye afya ? Click to expand... wapi nimeongelea za makopo afya muhimu hata hizo ziuzwe katika mazingira safi yanayoridhisha
MO11 said: afya kitu gani wewe unafikiri zile nyama za makopo ndio zenye afya ? Click to expand... wapi nimeongelea za makopo afya muhimu hata hizo ziuzwe katika mazingira safi yanayoridhisha
Gwangambo JF-Expert Member Joined Jun 30, 2012 Posts 3,637 Reaction score 1,208 Nov 2, 2014 #17 Haya sasa,hapa ni mnada wa Gendi- Babati-Manyara na minada kibao hapa TZ kunauzwa nyama taka. Tembea uone.
Haya sasa,hapa ni mnada wa Gendi- Babati-Manyara na minada kibao hapa TZ kunauzwa nyama taka. Tembea uone.
kabanga JF-Expert Member Joined Dec 12, 2011 Posts 37,518 Reaction score 18,889 Nov 2, 2014 #18 Aisee...
Edgartz JF-Expert Member Joined Feb 26, 2010 Posts 241 Reaction score 23 Nov 2, 2014 Thread starter #19 Gwangambo said: View attachment 198365Haya sasa,hapa ni mnada wa Gendi- Babati-Manyara na minada kibao hapa TZ kunauzwa nyama taka. Tembea uone. Click to expand... Daah ila me naona huko bora coz wanatundika juu tofauti na huku wengine wanatandika chini
Gwangambo said: View attachment 198365Haya sasa,hapa ni mnada wa Gendi- Babati-Manyara na minada kibao hapa TZ kunauzwa nyama taka. Tembea uone. Click to expand... Daah ila me naona huko bora coz wanatundika juu tofauti na huku wengine wanatandika chini
HARUFU Platinum Member Joined Jan 21, 2014 Posts 31,704 Reaction score 48,142 Nov 3, 2014 #20 Edgartz said: Daah kiongozi maeneo yote uliyotaja wanauza nyama kwa dizaini hii ila hapa ni tete mozambique Click to expand... Obrigado Edgartz Last edited by a moderator: Jan 4, 2016
Edgartz said: Daah kiongozi maeneo yote uliyotaja wanauza nyama kwa dizaini hii ila hapa ni tete mozambique Click to expand... Obrigado Edgartz