Hii ni starehe moja Safi Sana ,tana ikiwa hutumii nguvu kusukuma tumbo likiwa vizuri.
Binafsi hii starehe huwa nafanyia nyumbani tu,ni nadra Sana ninapokuwa na shida au matatizo ndio natumia vyoo vya ugenini,Binafsi ata gari napanda Kama nauli ya 500 kurudi home chapu nikafanye starehe yangu.
Kwanza naendaga na taulo na simu,Nikifika taulo nalitundika nabaki na Suti ya Mungu,Kipindi cha magazeti nayo nilikuwa naenda nayo yakiwa na story nzuri acha tu mpaka natamani yanibane kila Muda