Hilo nalo neno, bora yakiwa ya mgao utayaweka kwa simtank yakikatika utakuwa unatumia ya kwenye tank ila shida kama maji ya kupima ya kidumu hii haitafaa aisee
Don't try it Home aisee....Usishangae watu wakaanza kubadili tabia. Mara maji ya kuweka kwenye tank la hiko choo yanapashwa moto.
Mwisho wa siku mke na mume wanakuwa kaka na dada ama dada na dada