Tembea ujionee jamani



Akina Dada wakimwaga Razi zao barabarani nje ya mji wa Dares-Salaam........... ama kweli Waswahili Husema Pombe sio Maji.......
 
AFRICAN BARBER SHOP "BEST HAIR SALON" JOIN MR CHITE & CHRIS. LONG STREET 119 CAPE TOWN.Hapa ni pa Mzee Zumo South Africa....

 
jamaa anataka kuruka kutoka gorofani ni dak 10 zilizo pita mahakama kuu ya cape town huyu ni mwemu maisha yalivyokua matamu hivi jamani............. haibooooo....

 
Tunayaona kila siku huku Zanzibar
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…