Telegram yapata shambulizi kali la kimtandao, yapotea hewani dunia nzima

Telegram yapata shambulizi kali la kimtandao, yapotea hewani dunia nzima

Replica

JF-Expert Member
Joined
Aug 28, 2017
Posts
1,716
Reaction score
9,051
Mtandao maarufu kwa usiri wa Telegram umepotea hewani dunia nzima huku mwanzilishi mwenza, Pavel Durov akiripoti sever zao kupata joto lisilo la kawaida sababu kuu ikiwa shambulizi kubwa la kimtandao (Kama lililoikumba JF kipindi kifupi kilichopita?).

Pavel amesema hawawezi kufunga IP's kwani ni nyingi sana na wanaomba radhi na amewashukuru wote kwa kuiamini Telegram. Kwa sasa wanashughulikia tatizo.

Telegram ipo kwenye mzozo na nchi ya Urusi baada ya kugoma kutoa ushirikiano kwa shirika la kijasusi la Urusi, FSB na kupigwa marufuku nchini humo. Urusi walitaka uwezo wa kuingia Telegram ili kuchunguza tukio la kushambuliwa treni kwa bomu mjini St. Petersburg mwaka jana.

0F2E1A5C-BFF1-4B6D-A262-E1679E1E0F86.jpeg

BBCDAB65-35AE-40C7-8D2D-89B27432294C.jpeg
 
Kila kitu ukikijua ni raha pia ndugu...unashangilia hlo kwa kua uko addicted na social networks so ndio mahala pako. Ila ukijua sheria raha, ukiujua uchumia raha, ukijua kuogelea raha yaan kila kitu kina raha yake na msaada sehem yake.
Kweli mkuu
 
Back
Top Bottom