Telegram wamefeli wapi?

Ni kwamba Telegram sio popular tu, ila kiuharisia Telegram kamzidi WhatsApp kila idara
 
Sawa mkuu lakini uchaguzi wa jina unawezafanya wa nyuma yako akakuacha ulipo.

Sent using Jamii Forums mobile app
kweli mkuu!!! wasap wanatutesa sana mpaka uwe na android imulators au uscan qr code... wakati telegram unateleza tu kwa pc bila shida sema ndo unakuwa pekeyako kati ya kundi linalokuzunguka.... thus unakosa vitu ving coz watu hushare zaid wasap
 
natumia telegram kwenye pc yang niliyoitoa kwent app store na sijaona hiyo search feature ambayo ukiandika inaleta kila kitu... ukisearch kwenye telegram inaleta vitu ulivyojiunga navyo basii!!! ambavyo havipo huwez kuviona
Kwa mifano zaidi.

Nimeingia zangu telegram naclick alama ya search, leo nataka nione wanawake wanatingisha makalio nasearch pale juu keyword twerking


Nachagua hio yenye subscribers wengi, naingia,naona video toka chanell imeanzishwa mpaka leo, video ambazo hazina filter


Hapo nimetumia keyword nyepesi, na umeona uchafu uliokuja. Imenichukua chini ya dakika kupata huo uchafu, je unataka hio app iwe mainstream kama whatsapp? Watoto baba mama mjomba waitumie pamoja?

Samahani kama hizo picha zitawabugudhi watu.

Naomba na wewe ufanye same procedure kwenye whatsapp ulete
 
sawasawa mkuu!!!!!

inamaana alichelewa kuingia sokoni au ndo kujitangaza ni vigumu san???
Ni kwamba watu wengi ni wavivu ku-adapt new technology hasa kwa hizi chi za Africa lakini kwa wenzetu walioendelea ni tofauti, mfano USA, watu wana Snapchat ambayo ni maarufu kuliko WhatsApp, China wana WeChat na Weibo, na hawana habari na WhatsApp, WhatsApp vs Telegram is just the same thing is applicable to Facebook vs Google+ scenario, binafsi mimi huwa naamini kuwa Google+ is far more better than Facebook, na nimekuwa mstari wa mbele kushawishi watu kutumia Google+ lakini hakuna hata mwamko na sitashangaa siku moja Google+ kufungwa.
Kitu kingine kikubwa kinachofanya Telegram kuwa nyuma ya WhatsApp ni kuwa Telegram started out as a WhatsApp clone, but soon grew an identity and only few people noted that while the rest of them stuck with the mentality that Telegram is WhatsApp clone
Yote kwa yote tunakuja kufanya summary kwa kutumia "The rule of business" yaani "Either be first or be different", Gordon Miller anakwambia kabisa, "I will never invest in you if you are the next Facebook, Google or Twitter no matter how promising your ideas"
 
Ahsante mkuu! Umenifumbua
 
umeandika elimu kubwa sanaaaa!!!!! shukran sana mkuuu
 
daaahaa!!!!! aiseee somthing new and pocibly version ninayotumia wameondoa hiyo feature
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…