Telegram wamefeli wapi?

sawasawa
 
sijajua usalama upi ambao haupo mkuu... maana hata whatsap video chafu ukiztaka unapata why iwe rahisi kwa telegram?
 
App ya whatsapp for pc mbona ipo kitambo. ni watu tu wavivu wa ku download

Sent using Jamii Forums mobile app
 
telegram iko powa sana , haiba limitatiton ya kushare ukubwa wa file, group la telegram unaeza ads mpqka 10000 participatnts,
nina channels 6 za telegram 3 za music albums, 2 za animations latest, 1 ya movies latest,.

Kichekesho sasa phonebook ina namba zaidi ya mia ila anaetumia telegram m1 tuu dah
 
kama unavyoweza kuzipata kwenye telegram ni sawa tu na whatsap.... urushiwe au ujiunge kwa link za magroup hayo
Kwenye telegram hujiungi popote kuna search feature unaandika unachokitaka.

Na ilitolewa app store sababu ya child pornograph

Hakuna feature kama hio whatsapp
 
Kweli bhn telegram wako vizuri kushinda hata whatsapp kwa vitu vingi saana
Mafaili ukubwa na ubora
Makundi ku accomodate watu wengi
Na mambo kadha wa kadha


Sent from my iPhone using JamiiForums
Uko sahihi kabisa mkuu.

Telegram ni App nzuri sana
 
Natumia telegram tangu 2013

Wapo vzur kuliko whatsap

Ila walichelewa kuingia sokoni na pia sio American Brand.

Hapa dunian kampuni za US tu ,ndo zinazo enjoy easy penetration to the global market.

Nyingine zinastruggle,ila kama Telegram ingekuwa ni zao na silicon valley leo ungekuta ipo juu au hata imenunuliwa na major tech

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Kwenye telegram hujiungi popote kuna search feature unaandika unachokitaka.

Na ilitolewa app store sababu ya child pornograph

Hakuna feature kama hio whatsapp
natumia telegram kwenye pc yang niliyoitoa kwent app store na sijaona hiyo search feature ambayo ukiandika inaleta kila kitu... ukisearch kwenye telegram inaleta vitu ulivyojiunga navyo basii!!! ambavyo havipo huwez kuviona
 
kweli bro!!!!! ukiongeza na wewe mwenyewe ni wawili kati ya hao mia!!!!
 
sawsawa mkuu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…