Capt Price
Senior Member
- Dec 14, 2013
- 123
- 94
#WANAWAKELIVETZ tumeandaa program ya Kufundisha ujasiriamali, DARASA hili la UJASIRIAMALI litatolewa bure kabisa, mtaweza kujifunza
DARASA hilo litatolewa na walimu wenye ujuzi wa kutengeneza bidhaa zenye ubora wa hali ya juu. WOTE MNAKARIBISHA SANA.
- Ufugaji, kilimo na biashara.
- Utengenezaji wa sabuni ya mche.
- Utengenezaji wa sabuni ya maji ya kuogea, kufulia na chooni
- UTENGENEZAJI WA BATIKI
DARASA ilo litafanyika Dar-es-salaam Tegeta, Nyuki {ukitokea sehemu yoyote ya Dar-es-salaam panda magari yanayoenda Tegeta, Nyuki kisha shuka mwisho wa gari. Harafu utapiga simu 0783137777 ili upewe maelekezo ya kufika.
KWA MAWASILIANO PIGA 0783137777
inabidi wajitangaze ili na sisi wa tz tuwajue na tuitumie zaid app hiyo au????Tatizo mRussia huyo alieitengeneza WhatsApp ndio huyohuyo anaemiliki telegram baada ya kumuuzia mmiliki wa Facebook hiyo WhatsApp [emoji16] so utaona bado kawazidi akiri developer wa WhatsApp... Telegram kwa mawazo yangu ndio nafikiri ni social network bora zaidi duniani... But matapeli kule ndio sehemu yao usipokua makini...
Sent using Jamii Forums mobile app
true lakini naona itachukua mda sanaaa telegram kuwa na watumizi wengi hususan kwa tzWhatsapp ilifanikiwa kujitangaza haraka sana kama instant messenger na kuteka soko kwa haraka, kununuliwa na Mark nako kumeipa promo zaidi. Telegram ni poa sana ila haijapata promo zakutosha, ila i hope kuna siku watu wata realize ubora wa Telegram juu ya whatsapp
hahaha..hauko peke yako mkuu... wapo wengi sanaaa bora hata wewe unaionaga wengine wanasema hawaijui kabisa
sahihi sanaaaa mkuuuUzuri wa Telegram hata kama utaibiwa sim/poteza/reset au ume uninstall app ya Telegram na ukaja rudishia acc hata baada ya miezi 6 utazikuta messages na mafaili yako vilevile ulizochati na watu ulipoishia,,, Pia messages za magroup utazikuta vilevile tangu group lianzishwe na ulipoishia kusoma ndio itaanzia hapohapo ukifungua group, hii ni kwa sababu data zako za telegram zinatunzwa na server yao, haina end to encryption kwenye device yako... In short ina mazuri mengi tu..
Sent using Jamii Forums mobile app
Kuna kitu kwenye business kinaitwa GOODWILLKweli bhn telegram wako vizuri kushinda hata whatsapp kwa vitu vingi saana
Mafaili ukubwa na ubora
Makundi ku accomodate watu wengi
Na mambo kadha wa kadha
Sent from my iPhone using JamiiForums
Jina la whatsapp limepata title kubwa sana limefanya kila mtu atake kuitumia whatsap ili awe na link na wenzie wengi so jina kubwa linaibeba whatsapptunasubiri tuelewe mkuu hiyo GOODWILL
Usiseme watz bali wewe na wenzako wachache......tulio wengi tupo telegramkumbe ni wa tz ndio hatuitumii sana telegram kuna wengine ni default app,,,... sawa mkuu ..
me nilikuwa na request nitumiwe document kwa telegram... dah mtu anakwambia haijui kabisaaaa...
Goodwill ni ubora wa jina la bidhaa au huduma kwenye soko husika. Mfano, thamani ya jina Coca-Cola inaweza kuwa kubwa kuliko thamani ya mauzo ya Coca-Cola tangu ianze kuzalisha vinywaji vyake.tunasubiri tuelewe mkuu hiyo GOODWILL
sio wengi kama whatsap kkaUsiseme watz bali wewe na wenzako wachache......tulio wengi tupo telegram
Sent using Jamii Forums mobile app
Tanzania vitu huwenda kwa bendera fuata upepo ..........but haina watumiaji wengi kama ilivyo whatsap..... wamekwama wapi hawa telegram???