Mr possibility
Senior Member
- Mar 19, 2020
- 175
- 134
๐๐๐๐๐Unakuja tuu na uzi wako umekutana na vitu halafu huvitaji unataka watu wachangie....?
Umekutana na vibwengo!!!
Ni hatari tupunimekutana na hii changamoto pia,kila siku nakutana na groups ambazo hata sijui zinahusiana nini
Kama unaeleweka hivi ni kweli ni kama kifurushi ni hiko hiko ndo utapewa mtoa uzi atuambie ukweli imekuwaje kuwajeHapana si kweli Telegram haipo hivyo unaunganishwa katika hayo makundi kutokana na makundi uliyotafuta. Inakupa unachotaka
Nilichokikuta kule si cha kushea aiseeBila kushea ulichokutana nacho huo unabaki kuwa ni uzushi
Ni hatari mkuuWeka link tujionee kwa macho
Kuna hatari kule links mbona zimezagaa mkuuMimi niko telegram muda mrefu na natafuta hizo links za wauza nyapu sizipati wewe leo umejiunga eti unakutana nazo....si bure kuna hujuma hapa.
Kama unaeleweka hivi ni kweli ni kama kifurushi ni hiko hiko ndo utapewa mtoa uzi atuambie ukweli imekuwaje kuwaje