Unaweza kutushirikisha ujanja huo?Telegram kwangu ni ya kijanja sanaaaa
WhatsApp ni bora, lakini nafikiri vijana wengi wanakimbilia Telegram sababu ya groups za ajabu.Niliupdate jana ila whatsapp naona na users wengi wakati telegram ina 400,000
Nahisi labda kwasababu ya kutengeneza bots, channels hasa kwa wafanyabiashara na developers inakuwa rahisi kufanya kitu. Mfano unaweza tengeneza cryptocurrency bot. Unaweza tengeneza mfano kama ni biashara ukaweka most asked questions and answers kama hautokuwa onlineWhatsApp ni bora, lakini nafikiri vijana wengi wanakimbilia Telegram sababu ya groups za ajabu.
Mmm! Nothing special then maana hata kwa WhatsApp unaweza tengeneza bots!Nahisi labda kwasababu ya kutengeneza bots, channels hasa kwa wafanyabiashara na developers inakuwa rahisi kufanya kitu. Mfano unaweza tengeneza cryptocurrency bot. Unaweza tengeneza mfano kama ni biashara ukaweka most asked questions and answers kama hautokuwa online
Mmm! Nothing special then maana hata kwa WhatsApp unaweza tengeneza bots!
Oh kumbe sasa mbona sijaona mbongo yoyote ana bots za whatsapp naona wengi wako telegramMmm! Nothing special then maana hata kwa WhatsApp unaweza tengeneza bots!
Really?!Telegram has many special features:
-Better encryption than Whatsapp
-Group members up to 200k
-File size 1.5GB
-Secure channels
Etc
In my opinion if the telegram hit the market first, than whatsapp would be on the tail.
Sifahamu tatizo lipo sehemu gani zaidi ya kuona kufuata mkumbo and the so called 'Trend'. Maana WhatsApp kwa ushirika na Any.do utaweza kutengeneza bots!Oh kumbe sasa mbona sijaona mbongo yoyote ana bots za whatsapp naona wengi wako telegram
au iko complicated kama developers walivyoikataa windows phoneSifahamu tatizo lipo sehemu gani zaidi ya kuona kufuata mkumbo and the so called 'Trend'. Maana WhatsApp kwa ushirika na Any.do utaweza kutengeneza bots!
Binafsi naona kawaida, nafahamu hutofautiana namna ya kuelewa na kupokea jambo. So yes inaweza kuwa complicated kwa baadhi na ndio sababu ya kuhama.au iko complicated kama developers walivyoikataa windows phone
Yah sure, na vipi huduma ya pesa ya whatsapp baada ya kukataliwa brazil after launch?Binafsi naona kawaida, nafahamu hutofautiana namna ya kuelewa na kupokea jambo. So yes inaweza kuwa complicated kwa baadhi na ndio sababu ya kuhama.
Yes! Asilimia kadhaa walikosoa mtindo huo mpya kutoka WhatsApp, lakini dhumuni la WhatsApp lilikuwa ni hilo kuwezesha kutambua mapungufu na kupokea mapendekezo mapya.Yah sure, na vipi huduma ya pesa ya whatsapp baada ya kukataliwa brazil after launch?
Kwa sababu inabidi kulipia, na masharti lukuki.Sifahamu tatizo lipo sehemu gani zaidi ya kuona kufuata mkumbo and the so called 'Trend'. Maana WhatsApp kwa ushirika na Any.do utaweza kutengeneza bots!
TELEGRAM NI BORA KWA SABABU NYINGI SIO MAKUNDI PEKEEWhatsApp ni bora, lakini nafikiri vijana wengi wanakimbilia Telegram sababu ya groups za ajabu.
Nadhani hata video call quality ni bora kuliko WhatsApp....ama ni kwangu tu?TELEGRAM NI BORA KWA SABABU NYINGI SIO MAKUNDI PEKEE
1. usalama wa taarifa
2. inatumika kwenye kila kifaa ukiwa na akaunti moja tu
3. ukitumia telegram taatifa zako zinahifadhiwa kwenye cloud na sio kwenye kifaa hivyo unaweza kupata ujumbe hata uliotuma mwaka juzi.
4. kuna usiri wa hali ya juu.
5. sio rahisi kudukua taarifa kama ilivyo kwenye whatsapp