elmagnifico
JF-Expert Member
- Jul 7, 2011
- 8,260
- 9,747
Aiseee.
Wanafanana kila kitu had background wallpapers,emoji,UI jamaa wamekopi sema wakasanuka kuongezea vitu alivovi-ignore WhatsApp.
'Make Money Nd Fame out of Your fellows weakness'
Jamaa atakuwa anajuta sahii!

Mm nimependa feature ya kutuma documents siitaji kuwatumia wenzagu docs kwa email tena tunamalizana fasta kwa Telegrama
Lkn
Iko slow kupiga tick ya pili ambayo itakuwa inaffect pia delivery side ya pili
Kipya hakinyemi
Kwa whatsapp bado sana sijui ka wanayo app ya windows,iOs na symbian...kama wamejiami huko kote basi wataweza kumpindia
Hapa Africa wakitaka kutushika ndo Whatsapp wakisema wanalipisha 0.99$ baada ya huo mwaka ndo majanga ya kuikimbia yatakapoanza
Maana we Africans tunataka vya BURE
iko poa kwa hizo features, sema nashindwa kuelewa mechanism yake yakufetch data. nimeshangaa kujiunga tu tayari wana wananichek ambao hata kwenye phonebook yangu hawapo. how is it possible au wanasync na facebook data?
Mkuu kama ushatumia Viber utaelewa nini kinatokea kila mtu anayejoin a notification is sent kwa watu ambao wana namba yako kua you have just joined Telegram so hao wanapata notification
Kipya hakinyemi
Kwa whatsapp bado sana sijui ka wanayo app ya windows,iOs na symbian...kama wamejiami huko kote basi wataweza kumpindia
Hapa Africa wakitaka kutushika ndo Whatsapp wakisema wanalipisha 0.99$ baada ya huo mwaka ndo majanga ya kuikimbia yatakapoanza
Maana we Africans tunataka vya BURE
Hahahaha nimecheka sana huko mwishoni BTW whatsapp ipo platform zote hizo ios, windows mobile, symbian etc etc...