Tuanzie hapa unavyosema minara yote je Minara ya ttcl unaijua rangi yake ????
Rangi nyekundu inaonekana sana na kwa wepesi kushinda rangi zote ukiwa angani,na ndio mana hata zile taa zinazofungwa juu kwenye minara huwa ni nyekundu kwa ajili ya usalama wa vyombo vinavyotumia anga..
Usije kuuliza kwanini rami nyeusi