Teknolojia ya uber, Ufafanuzi na maswali mbalimbali

Teknolojia ya uber, Ufafanuzi na maswali mbalimbali

martial jb

JF-Expert Member
Joined
Oct 21, 2021
Posts
864
Reaction score
1,464
Teknolojia ya Uber ni moja ya teknolojia inayoonekana kufanya vizuri Sana duniani kwa Sasa, teknolojia hii imeondoa changamoto ya usafiri miongoni mwa abiria pia imeondoa changamoto ya kupata wateja miongoni mwa madereva wa vyombo vya moto.
Teknolojia hii inafanya kumuunganisha abiria na dereva aliyekaribu kwa usafiri.

Turudi kwenye point ya topic, je teknolojia hii inafanya kazi vipi na kwa mifumo ipi!!??
Binafsi nilichoweza kubain kuhusu Uber ni work with the aid of Google map, teknolojia hii inafanya kazi kwa msaada mkubwa wa Google map.Kwani ni Google map inayoongoz location ya customers na drivers to be tracked

Sasa nimekuja na uzi kwenu tujadili ni jinsi gani teknolojia hii inaweza kufanya kazi, na kwa misingi ya mifumo ipi!!?

Inshort, What it's mode of working, how it earns money and which other systems governs the technology!
Naimani nitapata uzoefu,ujuzi na elimu kutoka kwenu wakubwa!
 
Watu wa Uber and bolt mnaweza husika, engineers ( software) and watu wa computer wote as well as IT people pia mnaweza kutupa uzoefu na ujuzi
 
Back
Top Bottom