Simu hazitengenezwi ili zikaliwe. Anayekalia phablet ana matatizo kama huamini na una phablet basi anza tabia ya kuikalia kuanzia leo, kama haitapinda basi itadata kioo. Hili tatizo limechangiwa na mambo mawili:
1. Simu ni ya aluminium, ambapo wengi tutakubaliana kwamba aluminium ni bora kuliko miplastiki ya Samsung.
2. iPhone 6 Plus huenda ikawa ni Phablet nyembamba kuliko zote. Hii ina maana kuwa hata fremu yake ni nyembamba
Uzuri wenyewe haipindi kwa sababu unapiga simu au una surf internet bali kwa kuikalia au kuipinda kwa makusudi. Kwa hiyo kama unataka kununua simu hii go ahead it is a great phone. In my opinion the best Phablet in the market at the moment. chief-mkwawa ni mpinzani wa Apple tu sio kwamba hajui ukweli.
Na vile vile kama yupo ambaye ananunua simu ili iwe ni kigoda chake cha kukalia basi iPhone 6 Plus kweli haifai.
Iphone mwanzo mwisho hata muipige majungu iphone ni simu tamu sana!!!!
kumbe mwenzangu ulikuwa unaipigia hesabu kimyakimya?!!Hata mim nshaanza kuziogopa hizi simu. Sinunui. Ntabaki na 5s
Kama sio tatzo we unadhani ni kwanin mitandao yote mikubwa ya simu(gsm arena,phone arena etc)wanapga kelele
Kwahyo 6S hadi mwakani muda kam huu??
@New_kajala Kwenye instagram ameonyesha kua kainunua hebu muulizen kama imejikunja
Ahhhhhhhq
Unasubiri itue, mbona utakaa sana!! watu wanaagiza na zinakujaMie nashangaa wanaongea hata Tz bado ijatua officially.
Sent from my iPhone using JamiiForums
ni kweli zina matatizo, lakini mauzo ya iPhone hayategemei gsm arena, wateja wa iPhone ni wachache sana wanaotembelea gsm arena kwa sababu gsm arena huwa wanapata info za iPhone late sana. navyowafahamu wateja wa iphone hili tatizo bado halitawazuiya kununua iPhone, provided kwakmba wako covered na warranty!
I think you are wrong. Kuna watu wengi tu sio wa iphone peke yake wanategemea reviews za sites kama hizo ili ziwasaidie kufanya maamuzi sahihi. Mimi pamoja na kupenda kwangu Lumia (tena ni mnazi) sikununua mpaka nilipopitia baadhi ya hizi sites za tech kuelewa vizuri pros na cons za device niliyonunua. People will still buy iphones sababu wanazipenda na ni nzuri lakini ukweli ni kuwa kwa taarifa hizi mauzo ya iPhone 6+ yatapungua sana tu. Pengine kwa sababu hili tatizo haliligusi iphone 6 zenyewe zitaendelea kutoka kwa kiwango kikubwa. Mi si mpenzi sana wa iphone lakini kwa tatizo hili iphone 6+ siwezi kumshauri mtu anunue, ntamshauri ahamie kwenye 6 tu, 4.7" siyo size mbaya sana.
Kama inaanza kupinda hata ikiwekwa mfuko wa mbele, siyo habari nzuri. Kwa wanazi wa apple ambao wanasema hili si tatizo basi ndo wale wanaitwa 'mahaba niue'. Mimi na unazi wangu wa windows phone OS, nakiri bado kuna kazi ya kufanya upande wa software, na wala siwezi kuanza kubisha vitu ambavyo ni wazi.
Jibu lako ni neno moja tu: Sensationalism, wewe hujiulizi kwa nini mtu ukalie simu kubwa namna hii? Hebu ni nani kati yetu anakalia Samsung Galaxy Note au SOxy Xperia Z Ultra?Kama sio tatzo we unadhani ni kwanin mitandao yote mikubwa ya simu(gsm arena,phone arena etc)wanapga kelele
Vp tena Mrs?
Kwani Note 4 ina nini jipya zaidi ya fremu ya aluminium badala ya plastiki? What sort of proof do you want?mnhhh iphone 6+ ni bora kuliko note 4? can you prove it? japo naipenda nokia ila siku zote nairate 1520 nyuma ya note