[QChungu cha joto kwa ajiri ya vifaranga ,hutumia mkaa mchache unaweka ndani ya chungu then unafunika baada ya robo saa chungu kitakuwa heated vifaanga watakizunguuka kinadumu na joto ndani ya masaa 10-12 na chungu kimoja kinahudumia vifaranga 70-90 ,ni mbinu nzur ambayo hutoa joto _tahiki na hupunguza gharama za umeme picha zakd nitapost soon ndgUOTE="Chagga King, post: 17193075, member: 47691"]Acha uvivu kwa kuweka picha Tu, toa maelezo kwa kina, picha yenyewe haionekani vizuri.
We mtoa tangazo ukiwa nvivu, msomaja anakuwa mvivu Mara 2 yako[/QUOTE]
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.