Teknolojia mpya kwenye ulimwengu wa mawasiliano | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Teknolojia mpya kwenye ulimwengu wa mawasiliano

Discussion in 'Tech, Gadgets & Science Forum' started by gwaya, May 27, 2011.

 1. g

  gwaya New Member

  #1
  May 27, 2011
  Joined: Jan 11, 2011
  Messages: 4
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Hivi karibuni kuna teknolojia mpya imegundulika,teknolojia hiyo utendaji kazi wake ni kama Bluetooth ila yenyewe ina huwezo mkubwa zaidi ya bluetooth.Inasemekana hiyo teknolojia itaweza kuonda matumizi ya nyaya majumbani,maofisini, pia na mikutanoni.Na dhumuni kubwa kabisa ni kuviwezesha kuviunganisha vifaa bila nyaya, vifaa husika ni DVD player,LCD_TV,Home theatre systems,Simu za viganjani ,Printer,Projector,Camera,Computer n.k.Kwa kifupi ni kuunganisha vifaa vyote vya majumbani bila ya kutumia nyaya yani wireless communication.Mfano,DVD player itaweza kuunganishwa na TV bila ya kutumia waya na kucheki movie paspokuwa na tatizo lolote kama inavyo kuwa vimeunganiswa kwa nyaya.Pia mbali na kutumiana au kubadilishana mafaili modogo kama vile picha au mp3 kupitia simu zetu, teknolojia hiyo itaziwezesha simu zetu kuweza kutuma faili kubwa lenye 1GB ndani ya sekunde chache kwa mtu ambaye yuko karibu yako, kama ilivyo matumizi ya bluetooth.
  [​IMG]

  [​IMG]
  [​IMG]

  Continue.....Technology--Teknolojia mpya kwenye ulimwengu wa mawasiliano
   
 2. Kiroroma

  Kiroroma JF-Expert Member

  #2
  May 27, 2011
  Joined: Feb 6, 2009
  Messages: 368
  Likes Received: 30
  Trophy Points: 45
   
 3. Sniper

  Sniper JF-Expert Member

  #3
  May 27, 2011
  Joined: Mar 8, 2008
  Messages: 1,944
  Likes Received: 17
  Trophy Points: 135
  Are you talking about Millimiter Wave-based wireless personal area network (mmWave WPAN)?
   
 4. g

  gwaya New Member

  #4
  May 27, 2011
  Joined: Jan 11, 2011
  Messages: 4
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Kiswahili kigumu ndugu yangu.....! yah, hiyo ni mmwWawe WPAN.
   
Loading...